Waetruski : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 1:
[[ImagePicha:Museo archeologico di Firenze, statuia funeraria da Chianciano, V sec. a.c. 2.JPG|thumb|right|Sanamu ya baba na mama wa nyumba Waetruski (makumbusho ya Firenze)]]
[[ImagePicha:Etruskischer Meister 001.jpg|thumb|200PX|right|Mpiga muziki kutoka kaburi la Kietruski|300px]]
'''Waetruski''' walikuwa taifa katika [[Italia]] ya kale walioishi katika Italia ya Kati kwenye mazingira ya mji wa [[Roma]]. Mwanzo wa ustaarabu wao ulikuwa mnamo mw. 800 KK ukaishia katika miaka ya mwisho wa [[Jamhuri ya Roma]].
 
Mstari 11:
Waetruski walianzisha miji 12 walioshirikiana kama shirikisho. Inaaminika ya kwamba misingi ya mji wa Roma ni ya Kietruski pia. Wafalme wa Roma walikuwa wa asili ya Kietruski. Hivyo hadi mwaka 396 Roma ilikuwa chini ya athiri ya Waetruski. Mwaka ule jeshi la Roma likateka na kuangamiza mji wa Veiji na kumaliza kipaumbele ya Waetruski katika Italia. Miji kadhaa ya Kietrsuki ilifanya mikataba ya Roma ikapewa uraia wa Kiroma hadi mwaka 90 KK. Baadaye utamaduni wa Kietruski ulianza kupotea wakati watu walipoacha kutumia lugha yao.
 
[[CategoryJamii:Historia ya Italia]]
[[CategoryJamii:Roma ya Kale]]
 
 
[[bg:Етруски]]