Agnes wa Roma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: it:Sant'Agnese
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Santa_Agnese_Santa Agnese -_mosaico_Santa_Agnese_fuori_le_mura mosaico Santa Agnese fuori le mura.jpg|thumb|right|Nakshi za mawe za Agnes Mtakatifu katika [[kanisa]] la "Santa Agnese fuori le mura" huko Roma.]]
 
'''Agnes''' (aliuawa ama mwaka 250 BK ama mwaka 304 mjini [[Roma]], [[Italia]]) alikuwa [[bikira]] mwenye umri wa miaka 12 aliyekataa kuolewa kwa sababu ya [[imani]] yake ya [[Ukristo|Kikristo]].
Mstari 7:
Habari zake hazieleweki waziwazi kama aliishi wakati wa [[Kaisari Decius]] au wakati wa Kaisari [[Diokletian]] ambao wote wawili waliamuru mateso ya Wakristo.
 
{{DEFAULTSORT:Agnes}}
{{mbegu-Mkristo}}
 
{{DEFAULTSORT:Agnes}}
[[Jamii:Watakatifu wa Italia]]
[[Jamii:Watu wa Roma ya Kale]]