Gallia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ka:გალია |
d clean up using AWB |
||
Mstari 1:
[[
'''Gallia''' ni jina la kihistoria kwa ajili ya [[Ufaransa]] pamoja na maeneo ya jirani.
Mstari 24:
Katika karne zilizofuata Gallia imekuwa sehemu halisi ya [[Dola la Roma]]. Inaonekana Wagallia wenyewe walikubali utawala wa Kiroma hasa baada ya kupewa [[uraia wa Kiroma]]. Lugha ya [[Kilatini]] ilitumika kwa ajili ya habari za kiutawala ikapokelewa polepole na wenyeji. Kilatini hiki kilikuwa msingi wa lugha ya [[Kifaransa]] kilichotokea baadaye.
[[
[[
[[
{{Link FA|af}}
[[af:Gallië]]
[[als:Gallien]]
|