Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: ko:독일민주공화국; cosmetic changes
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Flag of East Germany.svg|thumb|left|Bendera ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani]]
[[Picha:Germany divided DDR.png|thumb|right|Ramani ya Ujerumani; sehemu ya kijani ni [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani]]]]
[[Picha:Deutschland_Besatzungszonen_1945_1946Deutschland Besatzungszonen 1945 1946.png|thumb|right|200px|Ujerumani, kanda za utawala wa washindi wa Vita Kuu ya Pili mw. 1946]]
'''Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani''' '''(JKK)''' ilikuwa jina la dola katika mashariki ya [[Ujerumani]] kati ya [[1949]] - [[1990]]. Iliundwa [[7 Oktoba]] [[1949]] katika eneo la ukanda wa utawala wa [[Urusi|Kirusi]] kama nchi mshindi wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]].