Schutzstaffel - SS : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ksh:Schotzstaffel
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 1:
[[ImagePicha:Schutzstaffel SS.png|230px|right|thumb|Alama ya SS zilikuwa S mbili kwa mwandiko wa Kigermanik]]
'''Schutzstaffel (Kikosi cha ulinzi)''' -kwa kifupi '''SS'''- ilikuwa jina la kitengo cha [[Chama cha Nazi]] au [[NSDAP]] nchini [[Ujerumani]] kilichoanzishwa mwaka [[1925]]kama kundi la walinzi wa kiongozi wa chama [[Adolf Hitler]]. SS ilishiriki katika [[maangamizi makuu dhidi ya Wayahudi wa Ulaya]] na kutawala makambi ya mauti. Kutoka kundi dogo la walinzi wa binafsi iliendelea kuwa tawi la kijeshi la Chama cha Nazi lililoshiriki pia kwenye mapigano ya [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]]. Ikapigwa marufuku kama chama cha kihaini mwaka [[1945]].
 
Mstari 6:
 
Baada ya Hitler kuwa [[chansela]] wa Ujerumani 1933 kikosi kilikua kuwa na watu 204,000.
[[ImagePicha:Himmler ziereis kaltenbrunner 1941.jpg|thumb|300px|Heinrich Himmler pamoja na viongozi wengine wa SS]]
==Mapigano ndani ya NSDAP na SS kuwa kitengo cha pekee==
Mwaka 1934 Hitler aliamua kuwaondoa viongozi wa wanamigambo wa SA waliokuwa na mawazo yao ya pekee kuhusu maendeleo ya utawala wa Kinazi katika Ujerumani. Hitler alitumia SS kwa kazi hii. Tar. 30 Juni na 1 Julai 1934 vikundi vya SS walikamata na kuua viongozi wengi wa SA.
Mstari 16:
* SS ya fuvu walipewa kazi ya ulinzi katika [[makambi ya KZ]] kwa wafungwa wa kisiasa
* kikosi cha ulinzi wa Hitler kilichojengwa kuwa tapo la kijeshi lililolinda majengo na mahali alipokaa Hitler lakini nje ya muundo wa jeshi la Ujerumani
 
 
==Itikadi ya SS==
Line 51 ⟶ 50:
Mwisho wa vita SS ikatangazwa na washindi kuwa kundi la kigaidi na kupigwa marufuku. Himmler alijiua tar. 23 Mei 1945 baada ya kukamatwa na Waingereza. Viongozi wengi walijaribu kujificha au kujiua kabla ya kukamatwa. Wengine walifaulu kujificha wakikimbia hadi Amerika Kusini.
 
{{makala nzuri sana}}
 
[[CategoryJamii:Wanazi]]
[[CategoryJamii:Historia ya Ujerumani]]
 
{{makala nzuri sana}}
 
[[af:Schutzstaffel]]