Mto Kent : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
No edit summary
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 77:
| map_caption =
}}
[[FilePicha:River Kent.jpg|thumb|left|250px|Mto Kent karibu na chanzo chake katika Kentmere]]
'''Mto Kent''' ni mto mfupi katika kata ya [[Cumbria]] nchini [[Uingereza.]] Mtohuu unaanza katika milima inayozunguka [[Kentmere,]] na hutiririka karibu maili 20 (32  km) katika kaskazini ya Morecambe Bay, baada ya kupita Kentmere, [[Staveley, Burneside, Kendal]] na [[Sedgwick]] . Kijiji cha [[Arnside]] huwa katika kinywa cha Kent .
 
 
Mito Mint, [[Sprint]] na [[Gowan]] hujiunga na Kent kaskazini ya Kendal, na pia mto huu unaungwa na [[mto Gilpin]] na Mto Winster ukielekea kwenye kinuywa chake.
 
 
Karibu na chanzo cha mto huu ni hifadhi ya Kentmere , ambayo ilijengwa katikati ya miaka ya 1800 kudhibiti mtiririko wa mto huu, ambao wakati huo ulitumika katika viwaanda. Karibu na Sedgwick, mto huu hupitia katika korongo ya mwamba ambayo huwa na maporomoko ya maji kadhaa. Sehemu hii ni maarufu kwa [[Kayaka]] kwa kuwa na maji safi kwa siku kadhaa baada ya mvua.
 
 
Katika misimu ya mawimbi makubwa, bakuli ya mchanga inayojulikana kama [[Bore Arnside]] huundwa katika kinywa hiki kando na Arnside. Mawimbi haya huwa na urefu wa mita 0.5.
 
 
Mto huu ni eneo maalum la kuhufadhi hasa kutokana na idadi ya [[Crayfish]] wenye kucha nyeupe Pia ni eneo la uvuvi wa samaki. Katika Staveley kuna [[weir]] kubwa na nyingine iko katikati ya mji wa Kendal. Kuna makao ya samaki katika daraja la Barley katika Staveley. Mto huu mara nyingi ulitoa nguvu kwa viwanda vya kusaga katika historia yake, ikiwa ni pamoja na kinu ya Staveley bobbin na kinu cha maji cha Kentmere , na pia kiwanda cha karatasi cha James Cropper katika Burneside.
[[FilePicha:Arnside123.jpg|thumb|right|250 px|Arnside, katika kinywa cha Kent]]
 
==Viungo vya nje==
 
*[http://v1.www.cleo.net.uk/content/geography/source2sea/Sor2Sea/KENTMERE.HTM Safari ya picha za mto Kent]
 
 
{{coord|54|15|N|2|47|W|display=title|region:GB_type:river_source:GNS-enwiki}}
 
[[CategoryJamii:Mito ya Cumbria]]
 
[[Category:Mito ya Cumbria]]
[[Jamii:Mito ya Uingereza]]
 
 
[[en:River Kent]]