Siracusa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d + infobox settlement using AWB
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 20:
[[Picha:Theatre at Syracuse, Sicily.jpg|thumb|250px|Sirakusa - uwanja wa maigizo wa kale]]
[[Picha:Petrolchimico siracusa1.jpg|thumb|250px|Sirakusa - viwanda]]
 
 
'''Sirakusa''' (kwa [[Kiitalia]]: Siracusa, kwa [[Kiingereza]]:Syracuse) ni mji wa [[Italia]] uliopo kwenye pwani ya mashariki ya kisiwa cha [[Sisilia]]. Kwa karne nyingi tangu zamani za [[Ugiriki wa Kale]] Sirakusa ilikuwa mji mkuu wa Sisilia ikahesabiwa pia kati ya miji muhimu na yenye enzi ya dunia.
Line 30 ⟶ 29:
 
Kitovu cha kihistoria kipo kwenye kisiwa cha Ortygia kilichopo karibu sana na pwani yenyewe.
 
 
== Historia ==
Line 47 ⟶ 45:
Tangu [[1038]] ilirudi tena chini ya utawala wa [[Ukristo|Kikristo]] kwanza wa [[Wanormandi]] halafu chini ya ma[[kaisari]] wa [[Dola Takatifu la Kiroma]].
 
Kutoka hapo iliingia chini ya utawala wa Kihispania, halafu ya [[[ufalme wa Sisilia]] hadi kuingia katika nchi ya Italia mwaka [[1860]].
 
== Viungo vya nje ==
* {{it}} [http://www.comune.siracusa.it/ Tovuti rasmi]
 
{{mbegu-jio-Italia}}
 
{{Link FA|it}}
 
{{mbegu-jio-Italia}}
[[Jamii:Miji ya Italia]]
[[Jamii:Sisilia]]
[[Jamii:Miji ya Biblia]]
 
{{Link FA|it}}
[[an:Siracusa]]
[[ar:سرقوسة]]