NATO : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: pnb:نیٹو
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 4:
 
NATO ilianzishwa mwaka 1949 wakati wa [[vita baridi]] kama maungano ya nchi za Ulaya ya magharibi pamoja na Marekani dhidi ya [[Umoja wa Kisovyeti]]. Nchi wanachama wa kwanza walikuwa [[Marekani]], [[Ubelgiji]], [[Uholanzi]], [[Luxemburg]], [[Ufaransa]], [[Uingereza]], [[Kanada]], [[Ureno]], [[Italia]], [[Norwei]], [[Denmark]] na [[Iceland]]. 1952 [[Ugiriki]] na [[Uturuki]] zilijiunga pia zikafuatwa na [[Ujerumani ya Magharibi]].
 
 
Baada ya mwisho wa vita baridi nchi zilizokuwa chini ya Umoja wa Kisoveti kama sehemu ya kambi ya kikomunisti zilijiunga na NATO kuanzia mwaka 1999. Ndizo Hungaria, [[Ucheki]], [[Poland]] (1999), halafu [[Estonia]], [[Latvia]], [[Lithuania]], [[Slovenia]], [[Slovakia]], [[Bulgaria]] na [[Romania]] (2004).
Line 12 ⟶ 11:
== Viugo vya Nje ==
{{commons|North Atlantic Treaty Organisation|NATO}}
 
* [http://www.nato.int/ NATO Official Website]
* [http://www.direct.gov.uk/Gtgl1/GuideToGovernment/InternationalBodies/InternationalBodiesArticles/fs/en?CONTENT_ID=4003090&chk=6WCZhB History of NATO – the Atlantic Alliance] - UK Government site
Line 42 ⟶ 40:
 
{{Link FA|bar}}
 
[[af:NAVO]]
[[an:OTAN]]