John von Neumann : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: sq:John von Neumann
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 14:
|tovuti rasmi =
}}
 
 
'''John von Neumann''' ([[28 Desemba]] [[1903]] - [[8 Februari]] [[1957]]) alikuwa mtaalamu wa [[hisabati]] nchini [[Marekani]]. Alizaliwa [[Budapest]] kama mtoto wa familia ya Wahungaria wa Kiyahudi aliyeonekana mapema kuwa na akili bora. Baada ya kumaliza shule alisoma uhandisi [[Berlin]] na [[Zürich]] akaendelea na msomo ya hisabati. Tangu 1926 alikuwa mwalimu na baadaye proofesa wa hisabati kwenye vyuo vikuu vya Berlin na [[Hamburg]]. 1930 alihamia Marekani alipokuwa profesa kwenye chuo kikuu cha [[Princeton]].
Line 20 ⟶ 19:
Anahesabiwa kati ya wanahisabati muhimu zaidi ya karne ya 20. Hisabati yake yalisaidia kuelewa [[fizikia ya kwanta]] na kwa hiyo alishiriki katika kazi za kuanzisha [[bomu ya nyuklia]] wakati wa [[vita kuu ya pili ya dunia]].
 
[[Category:Wanahisabati wa Marekani]]
[[category:Watu wa Hungaria]]
{{BD|1903|1957|Von Neumann, John}}
 
[[CategoryJamii:Wanahisabati wa Marekani]]
[[categoryJamii:Watu wa Hungaria]]
 
[[ar:جون فون نيومان]]