Emilio G. Segrè : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: yo:Emilio G. Segrè
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 3:
'''Emilio Segre''' ([[1 Februari]], [[1905]] – [[22 Aprili]], [[1989]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Italia]]. Mwaka wa 1938 alihamia [[Marekani]]. Hasa alifanya utafiti wa [[fizikia ya kiini]]. 1937 alitambua [[Tekineti]] kama [[elementi sintetiki]] ya kwanza iliyopatikana katika historia. Mwaka wa [[1959]], pamoja na [[Owen Chamberlain]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia'''.
 
{{DEFAULTSORT:Segre, Emilio}}
{{mbegu-mwanasayansi}}
 
{{DEFAULTSORT:Segre, Emilio}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1905]]
[[Jamii:Waliofariki 1989]]