Ambrosi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 23:
 
===Askofu===
[[ImagePicha:Francisco de Zurbarán 032.jpg|thumb|left|120px|''Mt. Ambrose'', alivyochorwa na [[Francisco de Zurbarán]]]]
 
Kama askofu, zaidi ya [[useja]] wake, alishika juhudi za kitawa, alisaidia mafukara kwa mali zake karibu zote, akajitahidi kupata elimu ya [[Biblia]] na [[teolojia]] akaitumia vema katika kuhubiri.
Mstari 30:
"Ukinitaka mwenyewe, niko tayari kutii: unipeleke gerezani au kifoni, sitapinga; lakini sitasaliti kamwe [[Kanisa]] la [[Yesu Kristo]]. Sitaita watu kunisaidia; nitakufa kwenye [[altare]] lakini si kuikimbia. Sitahimiza watu kupiga kelele: lakini [[Mungu]] tu anaweza kuwatuliza.
 
[[ImagePicha:Anthonis van Dyck 005.jpg|thumb|300px|''Mt. Ambrosi na kaisari Theodosius'' walivyochorwa na [[Anthony van Dyck]].]]
[[ImagePicha:Sant'Ambrogio Cript in Basilica of Sant'Ambrogio, Milan.jpg|thumb|240px|right|Kikanisa chini ya [[basilika]] lake.]]
Ikulu halikupendezwa na msimamo wa Ambrosi, lakini ilimuogopa na kumhitaji katika mapambano ya siasa.
 
Mstari 47:
 
== Maandishi ==
 
=== Ufafanuzi wa [[Biblia]] ===
* Hexameron
Line 101 ⟶ 100:
 
== Viungo vya nje ==
 
* [http://www.tertullian.org/fathers/ambrose_letters_00_intro.htm Barua za Mt. Ambrosi kwa [[Kiingereza]]]
* [http://www.documentacatholicaomnia.eu/20_40_0339-0397-_Ambrosius_Mediolanensis,_Sanctus.html Maandishi yake yote kutoka Patrologia Latina ya Migne pamoja na faharasa]