Thabo Mbeki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Adding: ga:Thabo Mbeki
No edit summary
Mstari 2:
 
'''Thabo Mbeki''' (amezaliwa [[18 Juni]], [[1942]]) ni [[Rais]] wa nchi ya [[Afrika Kusini]] tangu [[14 Juni]], [[1999]]. Alimfuata [[Nelson Mandela]].
 
Mbeki alilelewa katika familia ya [[Waxhosa]] katika jimbo la [[Rasi Mashariki]]. Wazazi walikuwa walimu wa shule na wanachama wa [[ANC]].
 
==Mwanaharakati wa ANC==
Thabo alishiriki katika shughuli za chama hiki wakati alipokuwa mwanafunzi. Baada ya kukamatwa kwa Nelson Mandelea na viongozi wengine wa ANC alitoka nchini akapelekwa [[Uingereza]] aliposoma elimu ya uchumi kwenye chuo kikuu cha Sussex. Baada ya masomo akajiunga na utumishi wa ANC na tangu 1971 alichaguliwa katika kamati kuu akawa mwakilishi wa ANC katika nchi mbalimbali za Afrika.
 
Tangu 1989 Mbeki alikuwa katibu wa chama mambo ya nje akahudhuria katika majadilioano kati ya serikali ya Afrika Kusini na ANC kuhusu namna za kumaliza sera ya [[Apartheid]].
 
==Makamu wa Rais na Rais==
Baada ya uchaguzi huru wa kwanza nchini Afrika Kusini mwaka 1994 alikuwa makamu wa rais chini ya Nelson Mandela. Mwaka 1997 akawa mwenyekiti wa ANC badala ya Mandela. 16 Juni 1999 akaapishwa kama rais wa Afrika Kusini akarudishwa katika uchagizi wa Aprili 2004.
 
{{mbegu}}
 
{{DEFAULTSORT:Mbeki, Thabo}}
[[Category:Waliozaliwa 1942]]
[[Category:Marais wa Afrika Kusini]]