Antonio Valencia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: is:Antonio Valencia
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 1:
{{Infobox Football biography 2
| playername = Antonio Valencia
| image = [[ImagePicha:Antonio Valencia Ecu vs. Col.jpg|frameless]]
| caption = Valencia on international duty with [[Ecuador national football team|Ecuador]], August 2008
| fullname = Luis Antonio Valencia Mosquera
Mstari 25:
 
'''Luis Antonio Valencia Mosquera''' (amezaliwa [[4 Agosti]], [[1985]]), anayejulikana sana kama '''Antonio Valencia''' , ni mchezaji wa kandanda wa kiungo cha kati mwenye uraia wa Ecuador na ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya Manchester United [5] na timu ya taifa ya Ecuador.
 
 
 
==Wasifu wa Klabu==
 
===Wasifu wa Mapema===
Baada ya kuwa na utoto ambao haukujaliwa katika sehemu ya Lago Agrio, Valencia alianza wasifu wake katika klabu ya El Nacional na alihamia timu ya ligi ya Kihispania, Villarreal, mwaka wa 2005. Hata hivyo, alipeanwa kama mkopo katika klabu ya Recreativo de Huelva muda mwingi wa msimu wa 2005-06, ambapo aliisaidia timu kupanda cheo kucheza katika ligi kuu ya Uhispania.
 
 
 
===Wigan Athletic===
Mwanzoni mwa msimu uliyofuata, alijiunga na klabu ya Ligi ya Uingereza, [[Wigan Athletic]], awali kama mpango wa mkopo kwa muda wa mwaka moja. Alicheza mechi yake ya kwanza ya Wigan tarehe 19 Agosti 2006, mechi ambayo Wigan ilipoteza 2-1 dhidi ya [[Newcastle United]], na aliifungia Wigan bao lake la kwanza dhidi ya [[Manchester Ci]]ty tarehe 21 Oktoba 2006. Muda wa mkopo uliongezwa hadi msimu uliyofuata, na tarehe 18 Januari 2008 alihamia Wigan rasmi kwa kitita cha ada ambacho hakikutangazwa, na alisaini mkataba wa miaka tatu unusu. Alikataa kuihamia timu ya La Liga ya Real Madrid mnamo Januari 2009. Mapema juni mwaka wa 2009, mwenyekiti wa Wigan alitangaza kuwa hatamlazimisha Valencia kubaki katika klabu.
 
 
 
===Manchester United===
Mnamo 30 juni 2009, Valencia akawa mchezaji wa kwanza kusainiwa na klabu ya Manchester United, na alikatiza likizo yake kwa ajili matibabu na klabu. Alisaini mkataba wa miaka minne kwa kitita cha ada ambacho hakikutangazwa, lakini fununu ni kuwa ada hiyo ilikuwa ya paundi milioni ([[£]]) 16. Alicheza mechi yake ya kwanza ya ushindani ya Manchester United katika FA Community Shield mwaka wa 2009, wakati aliingia kama mbadala wa [[Nani]] katika dakika ya 62 wakati Nani alijeruhiwa. Tarehe 17 Oktoba 2009, alifunga bao lake la kwanza la klabu, kwa kufunga bao la upili na la ushindi katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Bolton Wanderers [25] Bao lake la kwanza katika shindano la kombe la mabingwa barani Ulaya lilifuata siku nne baadaye katika ushindi wa 1-0 ugenini dhidi ya CSKA Moscow. Tarehe 15 Desemba, Valencia alifunga bao katika mechi yake ya 100 ya Ligi Kuu ya Uingereza na bao lake liilikuwa la mwisho katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Wolves.
 
 
 
==Wasifu wa Kimataifa==
Line 171 ⟶ 162:
!13
|}
 
 
''Takwimu sahihi kama ya kucheza mechi 19 Desemba, 2009.'' <ref>{{cite web |url=http://www.stretfordend.co.uk/playermenu/valencia.html |title=Antonio Valencia |accessdate=5 December 2009 |last=Endlar |first=Andrew |publisher=StretfordEnd.co.uk }}</ref>
 
 
 
==Tuzo==
 
===Klabu===
 
;El Nacional
 
 
*Serie A de Ecuador (1): 2005 Clausura
 
 
 
==Marejeo==
{{reflist|2}}
 
 
 
==Viungo vya nje==
Line 202 ⟶ 184:
{{Ecuador Squad 2007 Copa América}}
{{Manchester United F.C. squad}}
 
 
 
{{Persondata
Line 212 ⟶ 192:
|PLACE OF BIRTH = [[Nueva Loja]], [[Sucumbios]], [[Ecuador]]
}}
 
{{DEFAULTSORT:Valencia, Antonio}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1985]]