T. S. Eliot : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: zh:T.S.艾略特
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 5:
'''Thomas Stearns Eliot''' ([[26 Septemba]], [[1888]] – [[4 Januari]], [[1965]]) alikuwa mwandishi kutoka nchi za [[Marekani]] na [[Uingereza]]. Alizaliwa Marekani lakini alikata uraia wa Uingereza mwaka wa 1927. Hasa aliandika mashairi. Shairi lake "Nchi Kame" (kwa Kiingereza ''The Waste Land'') lilitolewa mwaka wa 1922. Mwaka wa 1948 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fasihi'''.
 
{{DEFAULTSORT:Eliot, Thomas Stearns}}
{{mbegu-mwandishi}}
 
{{DEFAULTSORT:Eliot, Thomas Stearns}}
[[Jamii:Waandishi wa Uingereza]]
[[Jamii:Waandishi wa Marekani]]