Edmund Barton : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: uk:Едмунд Бартон
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 1:
[[ImagePicha:Edmund Barton.jpg|thumb|right|250px|Edmund Barton.]]
 
'''Sir Edmund Barton''' ([[18 Januari]] [[1849]] – [[7 Januari]] [[1920]]) alikuwa [[Waziri Mkuu]] wa kwanza wa [[Australia]]. Yeye ndiye alichukua sehemu kubwa ya kuijenga na kuuiboresha Australia ya leo. Wakati wa uongozi wake katika serikali hiyo, ilipitisha sheria ya mtu asiye mweupe kuingia nchini humo na hata kutowataka wakina mama kushiriki kupiga kura katika uchaguzi wowote utakaofanyika nchini humo. Baada ya kuwa Waziri Mkuu, akaja kuwa jaji mkuu wa nchi katika mahakama kuu. Mwaka wa 1902, Barton alipewa cheo cha "Sir" cha [[Uingereza]] baada ya kukataa cheo hicho miaka ya 1887, 1891 na 1899.