Réunion : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 13:
|Mji Mkuu || [[Saint-Denis (Reunion)|Saint-Denis]]
|-
|Eneo || 2,512  km²
|-
|Mkuu wa Mkoa || [[Paul Vergès]]<br />([[Communist Party of Réunion|PCR]]) (tangu [[1998]])
Mstari 28:
|----
|}
 
 
'''Réunion''' (Kifaransa: La Réunion) ni kisiwa cha [[Afrika]] na [[mkoa wa ng'ambo]] wa [[Ufaransa]] (kwa [[Kifaransa]]: département d'outre-mer, au DOM) katika [[Bahari Hindi]] upande wa mashariki wa [[Madagaska]]. Kisheria hali yake ni sawa na mikoa mingine ya Ufaransa hivyo ni pia sehemu ya [[Umoja wa Ulaya]].
 
== Eneo lake ==
Reunion iko 800 &nbsp;km upande wa mashariki wa Madagaska. Pamoja na visiwa vya [[Mauritius]] na [[Rodrigues]] inaunda funguvisiwa ya [[Maskareni]].
Kisiwa kina eneo la 2.512 &nbsp;km² kikiwa na upenyo wa 50 hadi 70 &nbsp;km.
Milima mikubwa ni ya ki[[volkeno]]. Upande wa mashariki wa kisiwa ndipo mlima wa "Piton de la Fournaise" mwenye 2611 m uliolipuka zaidi ya mara 100 tangu kumbukumbu ya kimaandishi ilianzishwa mwaka 1640. Mlipuko wa mwisho hadi leo ilikuwa tar. 4.10.2005.
Mlima wa "Piton des Neiges" ndio mkubwa kisiwani ikiwa na 3070 m juu ya [[UB]].
Line 84 ⟶ 83:
Vikundi hivi havikai mbali: kuna mchanganyiko wa kila aina. Wakazi wengi hufuata [[Ukristo]] wa Kikatoliki, wengine [[Uislamu]] na [[Uhindu]]. Kuna pia [[Waprotestanti]].
{{Afrika}}
 
{{Link FA|af}}
{{Link FA|no}}
 
[[Jamii:Visiwa vya Bahari ya Hindi]]
Line 94 ⟶ 90:
[[Jamii:Réunion| ]]
 
{{Link FA|af}}
{{Link FA|no}}
[[af:Réunion]]
[[als:Réunion]]