Wallis na Futuna : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: af:Wallis en Futuna
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 2:
'''Wallis na Futuna''' ni [[eneo la ng'ambo la Ufaransa]] katika [[Bahari ya Pasifiki]] kati ya [[Fiji]] na [[Samoa]].
 
Eneo lake ni visiwa vitatu jumla kilomita za mraba 274  km². Idadi ya wakazi ni mnamo 16,000. Kwa upande mmoja kuna kisiwa cha Wallis na kwa upande mwingine visiwa vya Futuna. Umbali kati yao ni takriban kilomita 200.
 
Wakazi walio wengi ni Wa[[polynesia]] wakiongea lugha za Kipolynesia pamoja na Kifaransa.
 
Wakazi walio wengi huishi kwa kilimo cha kujikimu. Uchumi hutegemea misaada kutoka Ufaransa. Katika miaka iliyopita utalii umeanza kuchangia katika pato.
 
 
{{mbegu-jio}}
 
{{Pasifiki}}
 
 
 
[[Jamii:Visiwa vya Pasifiki]]