Pierre Curie : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 2:
[[Picha:Pierre and Marie Curie.jpg|thumb|300px|Pierre Curie pamoja na Marie katika maabara]]
 
'''Pierre Curie''' (* [[15 Mei]] [[1859]] [[Paris]]/[[Ufaransa]] - + [[19 Aprili]] [[1906]]) alikuwa mwanafizikia Mfaransa aliyepokea [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] wa mwaka 1903 pamoja na mke wake [[Marie Curie]] na [[Henri Becquerel]].
 
Alichunguza misingi ya [[sumakuumeme]]. Pamoja na mke wake aligundua elementi za [[poloni]] na [[radi (elementi)|radi]]. Maelezo yao yaliunda misingi wa kuelewa unururifu wa kinyuklia.
 
 
 
 
== Viungo vya Nje ==