Frans Eemil Sillanpää : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 4:
'''Frans Eemil Sillanpää''' ([[16 Septemba]], [[1888]] – [[3 Juni]], [[1964]]) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya [[Finland]]. Anajulikana hasa kwa [[riwaya]] zake, k.m. "Urithi Duni" (kwa Kifinland ''Hurskas kurjuus'', iliyotolewa mwaka wa 1919) au "Usingizi wa Ujanani" (''Nuorena nukkunut'', 1931). Mwaka wa 1939 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fasihi'''.
 
{{DEFAULTSORT:Sillanpaa, Frans Eemil}}
{{mbegu-mwandishi-Ulaya}}
 
{{DEFAULTSORT:Sillanpaa, Frans Eemil}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1888]]
[[Jamii:Waliofariki 1964]]