Andes : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
clean up using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Nasa_andenNasa anden.jpg|thumb|Safu za milima ya Andes zinavyoonekana kutoka angani]]
'''Andes''' ni safu ndefu kabisa ya milima duniani. Inavuka urefu wote wa [[Amerika Kusini]] kutoka [[Kolombia]] katika kaskazini hadi [[Chile]] katika kusini upande wa magharibi wa bara hili ikiongozana na mstari wa pwani la [[Pasifiki]]. Urefu wa safu yote ni takriban 7,500  km. Milima ya juu inafikia kimo cha 6,962 m na wastani ya milima yote iko kwa 4000 m. Upana wa milima hii ni kati ya 200  km na 600  km.
 
== Safu za milima na nyanda za juu ==
Mstari 14:
[[Picha:El misti.jpg|thumb|right|200px|[[El Misti]], Peru]]
[[Picha:Bolívar usgs.jpg|thumb|right|200px|[[Pico Bolívar]], Venezuela]]
 
 
== Milima mirefu ==
Line 49 ⟶ 48:
 
* Volkeno nyingi ndogo katika [[Bonde la Volkeno]] - (Peru)
 
 
 
{{mbegu-jio-AmerikaKusini}}
<!-- interwiki -->
 
[[Jamii:Milima ya Amerika Kusini]]
[[Jamii:Amerika Kusini]]
 
<!-- interwiki -->
[[af:Andes]]
[[an:Andes]]