Kisiwa cha Pasaka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: frr:Poosche-ailönj; cosmetic changes
CGN2010 (majadiliano | michango)
clean up using AWB
Mstari 2:
[[Picha:Moai Rano raraku.jpg|thumb|250px|Moai ni jina la vichwa hivi]]
 
'''Kisiwa cha Pasaka''' ([[Kipolynesia]]: Rapa Nui; [[Kihispania]]: Isla de Pascua) ni kisiwa cha [[Chile]] katika [[Pasifiki]] ya mashariki takriban 3,526  km kutoka mwambao wa Chile.
 
[[Anwani ya kijiografia]] ni 27°09′S 109°25′W. Mji mkuu ni waitwa Hanga Roa. Kuna wakazi 3,791.
 
== Jiografia ==
Kisiwa kiko peke yake baharini na visiwa vya karibu ni [[Pitcairn]] 2,000  km upande wa magharibi.
Kina asili ya kivolkeno. Ni mlima ulioanza kukua chini ya bahari kwenye [[mgongo mashariki wa Pasifiki]] 3000 m chini ya [[UB]].
 
Umbo al kisiwa ni pembetatu lenye urefu mkubwa wa 24  km na upana mkubwa wa 13  km. Eneo lote ni 162.5  km². Mlima mkubwa hufikia kimo cha 509 m [[juu ya UB]].
 
Kando la kisiwa kikuu kuna visiwa vidogo kadhaa bila watu.
Mstari 31:
 
{{DEFAULTSORT:Pasaka, Kisiwa cha}}
 
[[Jamii:Visiwa vya Pasifiki]]
[[Jamii:Mkoa wa Valparaíso]]
Line 40 ⟶ 39:
{{Link FA|no}}
{{Link FA|ru}}
 
[[ace:Pulo Easter]]
[[ar:جزيرة القيامة]]