Tofauti kati ya marekesbisho "Chake Chake"

4 bytes added ,  miaka 13 iliyopita
no edit summary
Uwanja wa ndege wa Wawi uko kilomita saba kutoka mjini upande wa mashariki. Huo ni uwanja wa ndege wa pekee kisiwani ukihudumia ndege ndogo tu.
 
Chake Chake inasemekana ni mji wa kale lakini hakuna majengo ya kihistoria ianyoonekanainayoonekana ila tu boma la kale. Habari zake zimepatikana tangu karne ya 19. Wataalamu huamini ya kwamba umeanzishwa tayari na [[Wareno]] karne 4 - 5 zilizopita kwa sababu minara yake yenye umbo la mraba si kawaida katika ujenzi wa Waswahili na Waarabu.
 
Chini ya mji kuelekea kihori kuna bado mabaki ya boma dogo penye mizinga miwili ya kale.