Bara Hindi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
clean up using AWB
Mstari 1:
[[Picha:India_78India 78.40398E_2040398E 20.74980N.jpg|thumb|350px|Bara Hindi inavyoonekana kutoka angani]]
'''Bara Hindi''' ni eneo kubwa ya [[Asia]] upande wa kusini ya milima ya [[Himalaya]] lenye kilomita za mraba milioni 4.5. Inaingia ndani ya bahari Hindi kama rasi kubwa sana lenye umbo la pembetatu.