Tofauti kati ya marekesbisho "Rasi ya Malay"

3 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
clean up using AWB
(clean up using AWB)
[[ImagePicha:LocationMalayPeninsula.png|right|Rasi ya Malay]]
'''Rasi ya Malay''' ([[Kimalay]]: ''Semenanjung Tanah Melayu'') ni rasi kubwa katika [[Asia ya Kusini-Mashariki]].
 
 
Kusini kabisa iko [[Singapor]] kwenye kisiwa karibu na ncha ya rasi
 
 
==Jiografia==
Rasi ya Malai iko kati ya [[Bahari Hindi]] na [[Pasifiki]]. Upande wa Pasifiki ni [[Ghuba ya Uthai]] na [[Bahari ya Uchina]]. [[Mlango wa Malakka]] unatenganisha rasi na kisiwa cha [[Sumatra]]
 
Rasi inaanza kwenye [[latitudo]] ya +13 na kuelekea kusini hadi latitudo ya +1. Urefu wake ni 1,555  km. Sehemu nyembamba iko katika sehemu ya Kithai yenye 60  km pekee.
Sura ya nchi ina tabia mbalimbali: milima, tambarare, maziwa, pwani na misitu minene.
{{mbegu-jio-Asia}}
 
[[CategoryJamii:Asia]]
[[CategoryJamii:Rasi za Asia]]
 
[[ar:شبه جزيرة ملايو]]
20,706

edits