Babeli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: te:బాబిలోన్
CGN2010 (majadiliano | michango)
clean up using AWB
Mstari 1:
[[ImagePicha:Ish-tar_Gate_detailtar Gate detail.jpg|thumb|200px|right|Sehemu ya geti ya Ishtar ya Babeli]]
'''Babeli''' ilikuwa mji wa nyakati za kale katika [[Mesopotamia]]. Maghofu yake hupatikana karibu na mji wa kisasa wa [[Al Hillah]] ([[Irak]]) kando ya mto [[Frati]] 90  km kusini mwa [[Baghdad]]. Babeli ilikuwa mji muhimu wa Mesopotamia kwa karne nyingi na mji mkuu wa milki iliyotawala maeneo makubwa ya [[Mashariki ya Kati]]. Inatajwa mara nyingi katika [[Biblia]].
 
Orodha ya wafalme wake ilianza mnamo mwaka [[2300 KK]]. Mfalme mashuhuri wa kwanza alikuwa [[Hammurabi]].
Mstari 16:
Mataifa ya Kale walikumbuka mji wa Babeli kwa muda mrefu. Kitabu cha [[Ufunuo wa Yohane]] katika [[Agano Jipya]] kilichoandikwa mnamo mwaka [[90]] [[BK]] kinatumia jina la Babeli kama jina la kitendawili kuashiria Roma.
 
[[CategoryJamii:Historia ya Iraq]]
[[CategoryJamii:Babeli]]
[[CategoryJamii:Mji wa Kale]]
[[CategoryJamii: Jina la kibiblia]]
[[CategoryJamii:Nchi ya Kihistoria ya Asia]]
 
[[ang:Babilōn]]