Rasi ya Sinai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: es:Península del Sinaí
CGN2010 (majadiliano | michango)
clean up using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Sinai_Peninsula_from_Southeastern_Mediterranean_panorama_STS040Sinai Peninsula from Southeastern Mediterranean panorama STS040-152-180.jpg|thumb|right|Rasi ya Sinai, [[Ghuba ya Suez]] (magh.), [[Ghuba ya Aqaba]] (mash.) inavyoonekana kutoka angani]]
 
'''Rasi ya Sinai''' ([[Kiar.]]: sina' سيناء) ni [[rasi]] yenye umbo la pembetatu nchini [[Misri]] upande wa kaskazini ya [[Bahari ya Shamu]] inayounganisha bara za [[Afrika]] na [[Asia]]. Inahesabiwa kuwa sehemu ya mwisho wa Asia ya Magharibi.
 
Eneo la Sinai ni takriban 60,000  km² hasa [[jangwa]]. Imepakana na [[Ghuba ya Suez]] upande wa magharibi na [[Ghuba ya Aqaba]] upande wa mashariki. Upande wa magharibi [[Mfereji wa Suez]] unaunganisha Bahari ya Shamu na [[Mediteranea]]. Kaskazini ya mwisho wa Ghuba ya Aqaba ni mpaka kati ya Misri na [[Israel]].
 
Mahali panapojulikana zaidi ndani ya eneo al rasi ni [[mlima Sinai]] (pia: mlima Horeb, jabal Musa) unaoaminiwa ni mahali ambako [[Musa]] alipokea [[amri kumi]] za [[Mungu]].