Bahari ya Kaspi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ga:Muir Chaisp
CGN2010 (majadiliano | michango)
clean up using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Caspian Sea from orbit.jpg|thumb|Caspian Sea]]
'''Bahari ya Kaspi''' (pia '''Bahari ya Qazwin'''- [[Kiajemi]] دريا خزر ''"darya khazar"''; [[Kirusi]] Каспийское море ''"kaspiiskoye more"'') ni [[ziwa]] kubwa kabisa duniani lenye eno la 371,000 [[km²]] na mjao wa 78,200  km³. Liko kati ya [[Azerbaijan]], [[Urusi]], [[Kazakhstan]], [[Turkmenistan]] na [[Uajemi]].
 
Kimo chake mkubwa ni 1,025 m.
Mstari 10:
== Madini ==
Chini ya bahari kuna akiba kubwa za [[mafuta ya petroli]] na gesi hasa karibu na [[Baku]]. Katika hori ya Kara-Bogas chumvi hulimwa.
 
 
== Viungo vya Nje ==