Mongolia ya Kichina : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: fj:Inner Mongolia
CGN2010 (majadiliano | michango)
clean up using AWB
Mstari 1:
[[Picha:China Inner Mongolia.svg|thumbnail|250px|Mahali pa Mongolia ya Kichina ndani ya China]]
[['''Mongolia ya Kichina]]''' huitwa pia "Mongolia ya Ndani" ni eneo la kujitawala ndani ya [[Jamhuri ya Watu wa China]] iliyokuwa eneo la makabila ya [[Wamongolia]] ingawa siku hizi [[Wahan]] ni wakazi wengi. Wamongolia wenyewe mara nyingi huita eneo "Mongolia ya Kusini".
 
Imepakana na Jamhuri ya [[Mongolia]], [[Urusi]] na majimbo mbalimbali ya China. Eneo lake ni milioni 1.18  km² (takriban 12% za China) linalokaliwa na watu milioni 24 (2004). Mji mkuu ni [[Hohhot]].
 
Lugha rasmi ni [[Kichina cha Mandarin]] na [[Kimongolia]].
Mstari 10:
== Viungo vya nje ==
* [http://www.nmg.gov.cn/ (Kichina) Tovuti rasmi]
 
 
{{mbegu-jio-China}}