Nembo ya Kenya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
d roboti Badiliko: yo:Àmì ọ̀pá àṣẹ ilẹ̀ Kẹ́nyà; cosmetic changes
Mstari 2:
'''Nembo ya [[Kenya]]''' huonyesha simba wawili wanaoshika mishale na ngao ya [[Maasai]]. Ngao huoneyesha rangi za taifa zilizogawanyika katika sehemu nne.
 
* Nyeusi humaanisha watu wazaliwa Kenya
* Kijani humaanisha kilimo na maliasili
* Nyekundu humaanisha mapambano kupata uhuru
* Nyeupe humaanisha umoja na usalama
 
Sehemu nyekundu huonyesha jogoo anayeshika shoka; hii humaanisha maisha bora.
Ngao na simba wamesimama juu ya [[Mlima Kenya]]. Chini ya ngao kimeandikwa [[Harambee]].
 
== Viungo vya Nje ==
http://www.kenyarchives.go.ke/emblem.htm
 
Mstari 46:
[[sv:Kenyas statsvapen]]
[[uk:Герб Кенії]]
[[yo:CoatÀmì ofọ̀pá armsàṣẹ ofilẹ̀ KenyaKẹ́nyà]]
[[zh:肯尼亞國徽]]