Nouméa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Kaledonia Mpya Grande terre.png|thumb|250px|Mahali pa Noumea kwenye kisiwa cha Grande Terre]]
[[Image:Kiosque.jpg|thumb|250px|Bustani kwenye kitovu cha mji]]
[['''Noumea]]''' (pia: '''Numea''') ni mji mkuu wa [[Kaledonia Mpya]] (Kifaransa: Nouvelle-Calédonie - ''nuvel kaledoni'') ambayo ni [[eneo la ng'ambo la Ufaransa]] katika bahari ya [[Pasifiki]].
 
Mji ulianzishwa mwaka 1854 kwa jina la "Port-de-France" (Bandari ya Ufaransa) kwenye rasi ya kusini ya kisiwa cha Grande Terre. Idadi ya wakazi wake imefikia watu 91.000.