Nevill Mott : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
photo 1952
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
[[File:Mott,Nevill Francis 1952 London.jpg|thumb|Nevill Francis Mott, London 1952]]
'''Nevill Francis Mott''' ([[30 Septemba]], [[1905]] – [[8 Agosti]], [[1996]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Uingereza]]. Hasa alichunguza upitishaji wa umeme, na [[usumaku]]. Mwaka wa 1962 alipewa cheo cha "Sir" cha Uingereza. Mwaka wa 1977, pamoja na [[Philip Anderson]] na [[John Van Vleck]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia'''.