Christina Milian : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
d Unicodifying, replaced: [[UK → [[Ufalme wa Muungano using AWB
Mstari 26:
Milian alipata kutoa albamu yake ya kwanza ya muziki iliyokwenda kwa jina lake mwenyewe, yaani [[Christina Milian (albamu)|Christina Milian]], na wimbo maarufu kutoka katika albamu hiyo ni "[[AM to PM]]" na "[[When You Look at Me]]".
 
Nyimbo zote mbili zilipata kushika nafasi ya tatu katika chati bora za muziki wa [[UKUfalme wa Muungano]], lakini albamu yake haijapata kuuza nakala nyingi. Albamu ya pili ya Milian ni [[It's About Time]], nayo haijafanikiwa kimauzo, lakini ilipokea Tuzo ya Grammy ikiwa kama albamu bora ya muziki wa [[R&B]].
 
Wimbo maarufu kutoka katika albamu hiyo ni "[[Dip It Low]]", imekuwa nyimbo ya kwanza kwa umaarufu na kutunukiwa na Recording Industry Association of America kuwa kama wimbo bora kwa mauzo ya mtandaoni.
Mstari 165:
 
{{DEFAULTSORT:Milian, Christina}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1981]]
[[Jamii:Waigizaji filamu wa Marekani]]