John Mott : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: id:John Mott
d roboti Nyongeza: yo:John Mott; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''John Raleigh Mott''' ([[25 Mei]], [[1865]] – [[31 Januari]], [[1955]]) alikuwa kiongozi wa [[YMCA]] na mashirikia mengine ya [[Ukristo|kikristo]] kutoka nchi ya [[Marekani]]. Kuanzia mwaka wa 1895 hadi 1920 alikuwa katibu mkuu wa [[Chama cha Wanafunzi Wakristo Duniani]]. Mwaka wa 1910, aliongoza [[Mkutano wa Misheni Duniani]] mjini [[Edinburgh]]. Mwaka wa [[1946]], pamoja na [[Emily Balch]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Amani]]''' kwa ajili ya kazi yake ya kuanzisha na kuimarisha jumuiya za wanafunzi kwa ajili ya amani duniani.
 
{{DEFAULTSORT:Mott, John}}
[[Category:Waliozaliwa 1865]]
[[Category:Waliofariki 1955]]
[[Category:Wakristo wa Marekani]]
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Amani]]
 
{{mbegu-mwanasayansi}}
 
[[CategoryJamii:Waliozaliwa 1865]]
[[CategoryJamii:Waliofariki 1955]]
[[CategoryJamii:Wakristo wa Marekani]]
[[CategoryJamii:Tuzo ya Nobel ya Amani]]
 
[[ar:جون راليج موت]]
Mstari 35:
[[sv:John Raleigh Mott]]
[[vi:John Mott]]
[[yo:John Mott]]
[[zh:穆德]]