Utenzi wa Gilgamesh : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
viungo
d roboti Badiliko: nl:Gilgamesj-epos; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:GilgameshTablet.jpg|thumb|220px|Kibao cha udongo chenye Utenzi wa Gilgamesh kwa [[mwandiko wa kikabari]]]]
 
'''Utenzi wa Gilgamesh''' ni shairi kutoka [[Mesopotamia]] ya Kale ikiwa kati ya kazi za kwanza za [[fasihi]] duniani zinazojulikana. Inasimulia habari za mfalme na nusu-mungu [[Gilgamesh]] na safari zake pamoja na rafiki yake Enkidu. Utenzi huu unaaminiwa ulitungwa kati ya 2400 KK na 1900 KK. Unajulikana hasa kutokana na hadithi ya gharika kuu iliyofunika dunia lote na kufanana na habari za [[Nuhu]] katika [[Biblia]].
 
== Mapokeo ya utenzi wa Gilgamesh ==
Utenzi huu haujulikani kwa sehemu zake zote. Ulisahauliwa na kugunduliwa upya katika karne ya 19 wakati ambako [[wanaakiolojia]] walianza kusoma [[mwandiko wa kikabari]] uliosahauliwa kwa milenia. Toleo lililohifadhiwa vema ni vibao vya udongo 12 vilivyotambuliwa katika mabaki ya mfalme [[Ashurbanipal]] (karne ya 7 KK). Maneno yake yamekamilishwa kutokana na matoleo mengine ya utenzi yaliyopatikana kwenye vibao vya udongo mahali pengine ingawa mara nyingi ni vipande tu si vibo kamili vilivyohifadhiwa baada ya muda mrefu.
 
Wataalamu hufikiri ya kwamba hadithi mbalimbali juu ya mfalme Gilgamesh zilisimuliwa na kuandikwa tangu muda mrefu hadi zilikusanywa katika utenzi mmoja kabla ya karne ya 7 KK.
 
== Hadithi ya utenzi wa Gilgamesh ==
Mshujaa wa utenzi Gilgamesh ana tabia za mchanganyo, theluthi 1 yeye ni mwanadamu na theluthi 2 ni mungu. Ana nguvu kubwa sana lakini hana uhai wa milele. Anatawala mji wa [[Uruk]]. Mipango yake ya ujenzi na ukali wake zinasumbua raia wa Uruk.
 
=== Ombi la wakinamama wa Uruk ===
Hasa kawaida yake ya kudai usiku wa kwanza na bibiarusi kila safari ndoa mpya inatokea inasababisha wanawake wa mji kumwomba mungu Ishtar kuwasaidia. Ishtar anapeleka ombi kwa babake aliye mungu mkuu An anayemwamuru mungu mama Aruru kumwumba Enkidu kwa kutumia udongo. Kusudi ni kumpa Gilgamesh mwenzake aliye nguvu sawa naye na kwa njia hii kubadlisha tabia zake. Gilgamesh anaambiwa kwa njia ya ndoto ya mamake Ninsun ya kwamba Enkidu atakuja anamfurahia.
 
=== Enkidu anachukuliwa Uruk ===
Enkidu anaishi porini pamoja na wanyama witu anajisikia ni mmoja wao ana nywele nyingi kama mnyama.
Mwindaji mmoja anatambua ya kwamba wanyama hawingii tena katika mitego yake kwa sababu wanalindwa na Enkidu. Anaenda Uruk na kulalamika mbele ya mfalme. Gilgamesh anamwambia kurudi pamoja na kahaba Shamhat; huyu Shamhat atamvuta kwa njia ya ngono kutoka upande wa kinyama kuja upande wa kibinadamu. Na kweli Enkidu anavutwa na Shamhat anafanya mapenzi naye kwa wiki moja. Katika muda huu wanyama pori wa Enkidu wanaondoka na kupotea. Enkidu anajikuta bila wanyama anaamua kumfuata Shamhat kwenda Uruk.
[[FilePicha:Enkidu leon.jpg|thumb|200px|Enkidu apigana na simba; picha kwenye mhuri wa Kimesopotamia]]
Njiani wanakutana na wafugaji na katika kambi lao Enkidu anaonja [[mkate]] na [[bia]] mara ya kwanza. Kinyozi anaondoa nyewele za mwilini na kwa njia hii Enkidu anakuwa mwanadamu kamili.
 
=== Gilgamesh na Enkidu wanachukua miti ya mingati ===
Mjini Uruk Enkidu anakutana na Gilgamesh na wanaanza kupigana akiingia tena katika chumba cha bibi arusi. Nguvu zao zinalingana hakuna mshindi. Baada ya kuchoka wanapatana na kuwa marafiki. Wanapanga kwneda pamoja na kumwua Humbaba mlinzi wa msitu wa [[mwangati|mingati]] ulio mali ya Ishtar. Mamake Gilgamesh anayeitwa Ninsun anaona hatari anamwomba [[mungu wa jua]] Shamash asaidie. Vilevile anampokea Enkidu kama mwanake hivyo huyu na Gilgamesh wamekuwa ndugu na wote wanapewa alama yake shingoni.
 
Akina kaka wawili wanafika msituni wanapigana na mlinzi Humbaba na kumwua kwa msaada wa Shamash. Wanakata miti na kujenga shapa halafu wanarudi kwa njia ya mto Frati wakibeba kichwa cha Humbaba.
 
=== Mapigano na ng'ombe dume wa mbinguni na kifo cha Enkidu ===
Ishtar anamwona Gilgamesha akirudi anampenda lakini anakataliwa. Akasirika juu yake na kwenda kwa babake mungu mkuu Anu anawomba umtuma ng'ombe dume wa mbinguni kama adhabu. Zimwi huyu akifika Uruka analeta hasara kubwa na kuua wanaume mamia. Enkidu na Gilgamesh wanaamua kupigana naye wanamshinda na kumchinja, moyo wake wanapeleka kama sadaka kwa Shamash. Ishtar akiona kifo chake analia lakini Enkidu anatupa mguu wa ng'ombe kwake.
 
Hapa miungu wa mbinguni wanaamua ya kwamba wote wawili wanastahili kifo lakini wanamteua Enkidu afe ingawa Shamash anawaombea. Enkidu anaona tishio hili katika ndoto. Anaanza kuwalaana miungu, anamlaana pia mwindaji na Shamhat waliomtoa porini. Shamash anajibu kutoka mbinguni akimkumbusha Enkidu jinsi gani Shamhat alimlisha na kumpa nguo anajaribu kumfariji kwa kumhakikisha ya kwamba atazikwa kwa heshima kubwa. Katika ndoto ya pili Enkidu anaona jinsi anavyopelekwa na malaika wa kifo kwenda ahera katika dunia ya wafu. Hapo gizani wakazi hula udongo wakivaa manyoa kama ndege na kuangaliwa na viumbe vya kutisha. Baada ya kuona haya yote Enkidu anakufa.
 
=== Matanga ya Gilgamesh na safari yake kutafuta masha ya milele ===
Kifo chake kinamsikitisha Gilgamesh anaondoka kwa matembezi marefu akitafuta siri ya maisha. Anaogopa kuadhibiwa sawa na Engidu kwa hiyo anatafuta ushauri wa babu yake Utnapishtim. Huyu na mkewe ni watu wa pekee wasiokufa katika gharika kuu iliyotumwa na miungu wakapewa maisha ya milele. Wanaishi kwenye kisiwa katika ziwa la mauti.
 
Mstari 42:
Mwishoni Gilgamesh anarudi Uruk; mwisho wa masimulizi hauna uhakika kwa sababu ya mapengo katika maandishi.
 
== Historia ==
Jina la [[Gilgamesh]] linaptikana katika orodha ya wafalme wa Uruk anaaminiwa alitawala katika kipindi kati ya 2700 KK hadi 2500 KK.
 
== Marejeo ==
=== Matoleo ===
* {{cite book | author=George, Andrew R., trans. & edit. | title=The Babylonian Gilgamesh Epic: Critical Edition and Cuneiform Texts | publisher=Oxford University Press | location=England | year=2003 | id=ISBN 01981492200-19-814922-0}}
* {{cite book | author=George, Andrew R., trans. & edit. | title=The Epic of Gilgamesh | location= | publisher=Penguin Books| year=1999, reprinted with corrections 2003 | id=ISBN 0-14-044919-1}}
* {{cite book | author=Foster, Benjamin R., trans. & edit. | title=The Epic of Gilgamesh | location=New York | publisher=W.W. Norton & Company | year=2001 | id=ISBN 0-393-97516-9}}
* {{cite book | author=Kovacs, Maureen Gallery, transl. with intro. | title=The Epic of Gilgamesh | location=Stanford University Press | publisher=Stanford, California | year=1985,1989 | id=ISBN 0-8047-1711-7}} Glossary, Appendices, Appendix (Chapter XII=Tablet XII). A line-by-line translation (Chapters I-XI).
* {{cite book | author=Jackson, Danny | title=The Epic of Gilgamesh | location=Wauconda, IL | publisher=Bolchazy-Carducci Publishers | year=1997 | id=ISBN 0-86516-352-9}}
* {{cite book | author=Mason, Herbert | title=Gilgamesh: A Verse Narrative | location=Boston | publisher=Mariner Books | year=1970 | id=ISBN 978-06182756490-618-27564-9}}
* {{cite book | author=Mitchell, Stephen | title=Gilgamesh: A New English Version | location=New York | publisher=Free Press | year=2004 | id=ISBN 0-7432-6164-X}}
* Sandars, N. K. (2006). ''The Epic of Gilgamesh (Penguin Epics)''. ISBN 01410262860-14-102628-6 - re-print of the Penguin Classic translation (in prose) by N. K. Sandars 1960 (ISBN 014044100X0-14-044100-X) without the introduction.
* {{cite book | author=Parpola, Simo, with Mikko Luuko, and Kalle Fabritius | title=The Standard Babylonian, Epic of Gilgamesh | publisher=''The Neo-Assyrian Text Corpus Project'' | year=1997 | id=ISBN 951-45-7760-4 (Volume 1) in the original Akkadian cuneiform and transliteration; commentary and glossary are in English }}
* {{cite book | author=Ferry, David | title=Gilgamesh: A New Rendering in English Verse | year=1993 | publisher=Farrar, Straus and Giroux | location=New York | isbn=0374523835}}
 
=== Mengine ===
* Damrosch, David (2007) ''The Buried Book: The Loss and Rediscovery of the Great Epic of Gilgamesh''. Henry Holt and Co, ISBN 0-805088050-0298029-5
* Jacobsen, Thorkild (1976) ''The Treasures of Darkness, A History of Mesopotamian Religion'', New Haven: Yale University Press, ISBN 0-300-01844-4
* West, Martin (1997) ''The East Face of Helicon: West Asiatic Elements in Greek Poetry and Myth'', New York: Clarendon Press, ISBN 0-19-815042-3
 
== Viungo vya Nje ==
* Translations for several legends of Gilgamesh in the [[Sumer]]ian language can be found in Black, J.A., Cunningham, G., Fluckiger-Hawker, E, Robson, E., and Zólyomi, G., ''The Electronic Text Corpus of Sumerian Literature'' ([http://www-etcsl.orient.ox.ac.uk/ http://www-etcsl.orient.ox.ac.uk/]), Oxford 1998-.
* Babylonian (Akkadian) texts: [http://etcsl.orinst.ox.ac.uk/cgi-bin/etcsl.cgi?text=c.1.8.1* ETCSL]
Mstari 85:
* [http://www.christian-thinktank.com/gilgy09.html Comparison of the Flood in Genesis to the Epic of Gilgamesh and related literature] (Christian-thinktank.com)
 
[[CategoryJamii:Mesopotamia]]
[[CategoryJamii:Fasihi]]
 
[[an:Epopeya de Gilgameix]]
Mstari 125:
[[mk:Гилгамеш (еп)]]
[[ml:ഗില്‍ഗമെഷ് ഇതിഹാസം]]
[[nl:GilgamesjeposGilgamesj-epos]]
[[no:Gilgamesj]]
[[pl:Epos o Gilgameszu]]