Lugha za Kiberberi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: {| valign="top" style="float: right;margin-left:1em;margin-bototm:1em;border: 1px solid #AAAAAA; background: #F9F9F9;clear: right" | colspan=2 style="text-align:center"|[[Image:berbers.png...
 
sahihisho dogo
Mstari 19:
'''Tamazight''' ni jina la kundi la lugha zinazotajwa pia kama "'''lugha za Kiberber'''" na kuzungumzwa hasa [[Moroko]] na [[Algeria]] lakini pia kati ya wakazi wa [[jangwa]] kubwa la [[Sahara]] hadi eneo la [[Sahel]]. Ni lugha ya [[Waberberi]] wanaoishi kati ya wasemaji wa Kiarabu katika Afrika ya Kaskazini.
 
Tamazight ni kati ya [[lugha za Kiafrika-KisasiaKiasia]]. Wasemaji wa Tamazight watazamiwa kuwa wenyeji asilia wa [[Afrika ya Kaskazini]] kabla ya kuja kwa Waroma wa Kale au kwa Waarabu.
 
Tangu uenezaji wa Kiarabu matumizi ya Tamazight imerudi nyuma polepole. Wakazi wengi wa nchi za Afrika ya Kaskazini ni wa asili ya Kiberber lakini kwa kawaida kupotea kwa lugha humaanisha pia upotevu wa tabia ya kuwa Berber. Leo hii wamebaki wasemaji milioni 10 na wengi wao hutumia lugha yao pamoja na Kiarabu au Kifaransa katika maisha ya kila siku.