Wangari Maathai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
d →‎Ndoa na familia: clean up using AWB
No edit summary
Mstari 4:
'''Wangari Muta Maathai''' (alizaliwa [[1 Aprili]], [[1940]]) ni mwanaharakati wa maswala ya mzingira na haki za wanawake kutoka nchi ya [[Kenya]]. Mwaka wa 2004 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Amani]]'''. Yeye ni mwanamke Mwafrika wa kwanza kupokea tuzo hilo. Pia, aliwahi kuwa mbunge wa Kenya na waziri msaidizi katika serikali ya [[Mwai Kibaki]] kati ya Januari 2003 hadi Novemba 2005.
 
Katika maandalizi ya [[Uchaguzi wa Ubunge na Urais 2007|uchaguzi wa 2007]] Maathai alisimama upande wa rais Kibaki lakini hakuteuliwa na chama cha ''[[Party of National Unity'' (Kenya)|PNU]]'' akagombea kwa chama cha Mazingira Green Party lakini hakurudi bungeni.
 
=== Elimu na Tuzo ===