Emeka Ojukwu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 5:
== Maisha yake ==
Ojukwu amezaliwa katika kabila la [[Waigbo]]. [[1957]] alijiunga na jeshi. [[1966]] akiwa [[kanali]] alikuwa afisa kiongozi na gavana wa kijeshi wa mkoa wa mashariki.
Baada ya mauaji wa Waigbo wengi
Ojukwu alikuwa rais wa Biafra kati ya [[30 Mei]] [[1967]] na [[8 Januari]] [[1970]]. Baada ya Biafra kushindwa katika vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Nigeria Ojukwu alikimbia [[Côte d'Ivoire]]. Mwaka 1980 alikaribishwa na rais wa Nigeria [[Alhaji Shehu Shagari]] arudi nyumbani.
Mstari 13:
== Viungo vya Nje ==
*('''en:''') [http://www.biafraland.com/massob.htm MASSOB, The Movement for the Actualization of the Sovereign State of Biafra]
{{DEFAULTSORT:Ojukwu, Emeka}}
[[Category:
[[Category:Waigbo]]
[[de:Chukwuemeka Odumegwu]]
|