Mchikichi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
'''Mchikichi''' ('''Elaeis guineensis''') ni kati ya [[miti]] iliyo muhimu zaidi kiuchumi. Matunda yake huleta [[mawese]] ambayo hutumika sana kama [[mafuta ya kupikia]], kwa ajili ya madawa mbalimbali na siku hizi pia kama [[diseli]].
 
Mti unakua hadi kimo cha 30 m. 30. Matunda yake ni madogo yakiwa pamoja kwa shingo. Jumla ya mti mmoja laweza kufikia 50 KG. Matunda haya huharibika haraka hivyo ni muhimu kuyashughulika mara moja baada ya mavuno.
 
Asili yake iko [[Afrika ya Magharibi]]. Mti ulipewa jina la kisayansi „Elaeis guenesis“ kwa sababu kiasili ilipatikana kwa wingi katika nchi za [[Guinea (kanda)|kanda ya Guinea]]. Siku hizi inakuzwa zaidi katika [[Amerika]] na hasa [[Asia]] ya kusini.