Schutzstaffel - SS : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
d expand-tag added using AWB
Mstari 1:
{{ongezea|date=Septemba 2010}}
[[Picha:Schutzstaffel SS.png|230px|right|thumb|Alama ya SS zilikuwa S mbili kwa mwandiko wa Kigermanik]]
'''Schutzstaffel (Kikosi cha ulinzi)''' -kwa kifupi '''SS'''- ilikuwa jina la kitengo cha [[Chama cha Nazi]] au [[NSDAP]] nchini [[Ujerumani]] kilichoanzishwa mwaka [[1925]]kama kundi la walinzi wa kiongozi wa chama [[Adolf Hitler]]. SS ilishiriki katika [[maangamizi makuu dhidi ya Wayahudi wa Ulaya]] na kutawala makambi ya mauti. Kutoka kundi dogo la walinzi wa binafsi iliendelea kuwa tawi la kijeshi la Chama cha Nazi lililoshiriki pia kwenye mapigano ya [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]]. Ikapigwa marufuku kama chama cha kihaini mwaka [[1945]].