Tabora (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Infobox - jina, replaced: = Jiji la → = using AWB
d roboti Badiliko: pl:Tabora; cosmetic changes
Mstari 19:
'''Tabora''' ni mji wa kihistoria ya [[Tanzania]] ya kati na makao makuu ya [[mkoa wa Tabora]]. Eneo lake ni manisipaa na pia wilaya. Mwaka 2002 palikuwa na wakazi 188,808.<ref>http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/taboraurban.htm Sensa ya 2002</ref>
 
== Historia ==
Mji ulianzshwa katika nusu ya kwanza ya [[karne ya 19]] na wafanyabiashara Waarabu na Waswahili kutoka [[Zanzibar]]. Waliitumia kama kituo kwenye njia ya biashara kati ya pwani na [[Ziwa Tanganyika]]. Biashara kuu ilikuwa ndovu pamoja na watumwa. Tabora walijenga nyumba imara pamoja na ghala za bidhaa kwa ajili ya biashara hii. Familia ya [[Tippu Tip]] ilikuwa kati ya wenye nyumba wa Tabora.
 
Mstari 28:
1916 Tabora ilivamiwa na Wabelgiji waliowafukuza Wajerumani lakini baada ya [[vita kuu ya kwanza ya dunia]] mji ukawa sehemu ya [[Tanganyika]].
 
== Usafiri ==
Hadi leo Tabora ni kitovu muhimu cha mawasiliano cha Tanzania ya kati lakini barabara zote zinazofikia mji ni za udongo. Hata hivyo malori kutoka Daressalaam kuelekea Rwanda, Burundi au Kongo hupitia Tabora. Reli inapeleka abiria na mizigo kutoka Tabora kwenda Daressalaam, Kigoma na pia kwenda Mwanza kwa kutumia mkono wa kaskazini ya njia ya reli iliyojengwa wakati wa ukoloni wa Kiingereza.
 
Kuna pia uwanja mdogo wa ndege.
 
== Marejeo ==
* <references/>
* [http://www.fallingrain.com/world/TZ/0/Tabora.html Red dots are rail lines]
Mstari 58:
[[nl:Tabora (stad)]]
[[no:Tabora]]
[[pl:Tabora (miasto)]]
[[ro:Tabora]]
[[ru:Табора (Танзания)]]