Kizimba (mlima) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
move author's note to Majadiliano:Kizimba |
||
Mstari 1:
'''Kizimba''' ni jina la [[mlima]] mkubwa ulioko upande wa kaskazini mashariki mwa [[Bumbuli]] Tanzania, ambao ni maarufu sana kwa kuashiria mvua kubwa kunyesha mara wingu linapotanda juu yake. Ni eneo la kipekee kwani ndiyo mlima mrefu na unaposimama Kizimba unaona karimu eneo kubwa la Bumbuli.
{{Mbegu-jio-Tanzania}}
|