Kenya Airways : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: eo:Kenya Airways
CGN2010 (majadiliano | michango)
+infobox
Mstari 1:
{{Infobox Airline
|airline = Kenya Airways
|logo = Kenya Airways Logo.svg
|logo_size = 235
|fleet_size = 30
|destinations = 46
|IATA = KQ
|ICAO = KQA
|callsign = KENYA
|parent =
|company_slogan = "The Pride of Africa"
|founded = 4. Februari 1977
|headquarters = [[Embakasi]], [[Nairobi]], [[Kenya]]
|key_people = [[Titus Naikuni]] ([[CEO]])</br>Alex Mbugua ([[CFO]])</br>Evanson Mwaniki ([[Chairman]])
|hubs = [[Jomo Kenyatta International Airport]], [[Moi International Airport]]
|frequent_flyer = [[Flying Blue]]
|lounge = Simba Lounge
|alliance = [[SkyTeam]]
|website = [http://www.kenya-airways.com/ {{Nowrap|www.kenya-airways.com}}]
}}
[[Picha:Kenya.airways.b777-200er.5y-kyz.arp.jpg|thumb|right|Kenya Airways Boeing 777-200ER|330px]]
'''Kenya Airways''' ni [[kampuni]] ya [[ndege (uanahewa)|ndege]] ya [[taifa]] ya [[Kenya]] yenye makao makuu jijini [[Nairobi]]. Kampuni hii ilianza kufanya kazi zake mwaka 1977 baada ya kuvunjika kwa [[Jumuiya ya Afrika Mashariki]] kulikopelekea kuvunjika kwa "[[East African Airways]]". Hivi sasa kampuni hii inatoa huduma barani [[Afrika]], [[Ulaya]] na [[India]]. Kampuni hii ina safari nyingi za ndege nje ya Afrika kuliko kampuni yoyote barani Afrika. Kampuni hii ilikuwa ikimilikiwa asilimia 100 na serikali ya Kenya mpaka mwaka 1996.