Tofauti kati ya marekesbisho "Bastola"

3 bytes added ,  miaka 10 iliyopita
d
roboti Badiliko: uk:Пістолет; cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: mk:Пиштол)
d (roboti Badiliko: uk:Пістолет; cosmetic changes)
[[ImagePicha:Python-nickel.jpg|thumb||Bastola aina za revolver]]
[[imagePicha:Pistol_Browning_SFS.jpg|thumb|Bastola ya Browning ina chemba ya kubadilisha]]
'''Bastola''' ni [[silaha ya moto]] ndogo yenye [[kasiba]] fupi inayoshikwa kwa mkono mmoja tu. Teknolijia yake ni karibu sawa na bunduki isipokuwa ni ndogo.
 
== Aina za bastola ==
Kiasili bastola ilikuwa tu umbo dogo la [[gobori]]. Baada ya kila pigo ilihitaji kujazwa upya.
 
Aina ya pili kati ya bastola ina chemba ya risasi kama kidawati kidogo inayosukumwa ndani ya nafasi yake kwenye bastola. Wanajeshi waliona faida ya kwamba ni rahisi kujaza chemba ya ziada na kuibeba kama akiba inayobadilishwa haraka kuliko kujaza upya chemba inayozunguka kwa sababu chemba ya kuzunguka haitolewi ni lazima kuijaza ramia moja-moja.
== Matumizi ya bastola na bunduki ==
Faida yake kulingana na bunduki yenyewe ni nyepesi na ndogo hivyo haisumbui wakati wa kubeba. Hasara yake katika ulinganisho na bunduki ni hasa mfiko mdogo, nguvu ya risasi zake na umakinifu wa kulenga.
 
Jeshini bastola hutumiwa kama silaha ya pili pamoja na bunduki. Kwa polisi huwa ni silaha kali ya kawaida. Majambazi mara nyingi hupendelea bastola kwa sababu zinafichwa rahisi hazionekani.
 
[[CategoryJamii:silahaSilaha]]
 
[[ar:مسدس (سلاح)]]
[[th:ปืนสั้น]]
[[tr:Tabanca]]
[[uk:ПістольПістолет]]
[[uz:Toʻpponcha]]
[[vi:Súng ngắn]]
43,992

edits