Wamasai : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: be:Масаі |
No edit summary |
||
Mstari 18:
[[Picha:Maasai tribe.jpg|right|thumb|Wamasai, Kenya, 2005.]]
'''Wamasai''' ni [[kabila wazawa]] wa Afrika la watu wahamaji katika wanaopatikana [[Kenya]] na kaskazini [[Tanzania
Ingawa serikali [[ya Tanzania]] na [[Kenya]] imeweka mipango kuwahimiza Wamaasai kuachana na asili yao ya jadi ya uhamaji, bado wameendelea na desturi hiyo. <ref> ''Mwisho wa Wamaasai.'' Mohamed Amin, Duncan Willetts, Yohana Eames. 1987. Page 122. Camerapix Publishers International. ISBN 1 874041 32 6</ref> Hivi majuzi, [[Oxfam]] imedai kwamba mtindo wa maisha ya Wamasai lazima ikubaliwe ili kuzingatia mabadiliko ya hali ya hewa kwa sababu hawana uwezo wa kulima katika majangwa. <ref>{{cite web | url =http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/7568695.stm | title = Maasai 'can fight climate change' | date = 18 August 2008}}</ref>
== Historia ==
Line 32 ⟶ 30:
Kwa sababu hii ya uhamiaji, Wamasai ni wazungumzaji wa Kiniloti wa kusini zaidi.
Kipindi cha upanuzi ulifuatwa na "Emutai" ya kimasai ya 1883-1902. Kipindi hiki kilikuwa kimetofautishwa na [[kuenea]] kwa magonjwa ya [[bovin pleuropneumonia, rinderpest,]] na [[smallpox.]] Kisio la kwanza lilikuwa limependekezwa na mwanajeshi wa Kijerumani kaskazini magharibi [[ya Tanganyika, ilivyojulikana siku hizo]] ya kwamba asilimia 90 ya ng'ombe na nusu ya wanyama pori walikufa kutokana na ugonjwa wa rinderpest. Madaktari wajerumani walidai kuwa katika eneo moja "kila sekunde" Afrika kulikuwa na mtoto aliyeugua matokeo ya smallpox. Kipindi hiki kiliambatana na ukame. Mvua ilikosa kunyesha kabisa katika mwaka wa 1897 na 1898. [http://www.blackwellpublishing.com/ecology/news/news.asp?id=192 ]
|