Msaada:Picha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
CGN2010 (majadiliano | michango)
Mstari 13:
Kiungo cha picha ina sehemu nne ndani ya mabano zinazotenganishwa kwa alama ya "'''|'''" inaonekana hivyo:
 
''' <nowiki>[[Picha:JINA LA PICHA|thumb|NAMBA YA UPANApx|MAELEZO YA PICHA]] </nowiki>'''
 
:#sehemu 1 - '''JINA''': Jina la picha sharti ni sawa kabisa na jina la faili yake. Inatanguliwa na neno "'''Picha:'''". Badala ya picha programu inapokea pia "faili" au maneno ya Kiingereza "image" na "file".