Waraka wa tatu wa Yohane : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: zh:約翰三書; cosmetic changes
Mstari 3:
'''Barua ya tatu ya Yohane''' ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia ya Kikristo]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
== Mwandishi ==
 
Kuhusu mwandishi wa barua hiyo lilichelewa kutajwa jina la [[Mtume Yohane]] kutokana na yaliyomo na mtindo wa uandishi wake.
Mstari 11:
Kama mwandishi si yeye, ni mmoja wa wanafunzi wake aliyeandikwa mwishoni mwa [[karne ya 1]] huko [[Efeso]].
 
== Mlengwa ==
 
Mlengwa ni ''Gaio'', anayedhaniwa kuwa kiongozi mmojawapo wa jumuia fulani kati ya zile zilizomtegemea Yohane.
 
== Kiungo cha nje ==
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili
 
[[CategoryJamii:Vitabu vya Agano Jipya]]
 
[[ar:رسالة يوحنا الثالثة]]
Mstari 55:
[[ug:يۇھاننا يازغان ئۈچىنچى خەت]]
[[yo:Episteli Johanu Keta]]
[[zh:約翰書]]