Wikipedia:Msimamo wa kutopendelea upande : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Msimamo wa kutopendelea upande''' ni sheria ya kimsingi kwa watu wote wanaochangia humo kuandika au kusahihisha makala. Maana yake ni wakati wa kutunga makala ...'
 
No edit summary
Mstari 19:
== Mfano wa hoja zisizopatana na kutafuta msimamo wa kutopendelea ==
 
Watu wakijadiliana habari za viongozi, wanasiasa au pia dini n.k. wanaweza kutofautiana juu ya mengi.
 
===Mfano wa mfalme XYZ===
Mfano: Mfalme XYZ. Wengine watasema alikuwa mtu mbaya aliyeanzisha vita na kuua watu wengi. Wengine wanaweza kumwona kama mfalme bora aliyejitahidi kutunza amani lakini alilazimishwa na maadui kujitetea. Kwa hiyo upande mmoja wanamkumbuka kuwa mfalme mwema lakini wengine wanamwita mfalme mbaya.
 
Mstari 49:
 
Hapa watumiaji wengine wataangalia makala hii hasa na kuchangia kwenye swali linalijadiliwa.
 
==Kutofautisha mawazo na habari halisi==
Bwana Juma ni mwanamichezo maarufu anapendwa na wengi pia na wanawikipedia.
#Si sawa kuandika "Juma ni mwanamichezo bora nchini Kenya". Hii ni mawazo tu na msomaji haiwezi kujua eti kipimo cha ubora ni nini.
# Kinyume chake inawezakana kuandika "Juma amepata medali nyingi katika historia ya michezo ya Kenya" maana hii ni habari halisi inayoweza kuthebitishwa au kupingwa.
# Wakati mwingine inawezakana kuandika "Juma anatazamiwa na Wakenya wengi kama mwanamichezo bora wa nchi" kama uthebitisho fulani unapatikana; kwa mfano kura ya maoni ya gazeti fulani inayotajwa kama chanzo kwenye maelezo chini ya makala; au "Juma ametajwa na rais wa nchi kama mwanamichezo bora..." ambayo inahitaji pia dondoo kama chanzo.
 
[[Jamii: Mwongozo wa Wikipedia]]