Wazigula : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
CGN2010 (majadiliano | michango)
wikify
Mstari 1:
'''Wazigula''' ni kabila kutoka eneo karibu na [[Bahari Hindi]] baina ya [[Dar es Salaam]] na [[Tanga]], nchini [[Tanzania]]. Mwaka 1993 idadi ya Wazigula ilikadiriwa kuwa 355,000 [http://www.ethnologue.com/show_language.asp?code=ziw]. Lugha yao ni [[Kizigula]].
 
== Asili, mila na desturi za kabila la Wazigua ==
{{mbegu}}
[[Category:Makabila ya Tanzania|Z]]
 
[[de:Zigula (Volk)]]
[[en:Zigua people]]
[[eo:Ziguloj]]
ASILI, MILA NA DESTURI ZA KABILA LA WAZIGUA.
Wazigua ni mojawapo wa makabila ya asili ya mkoa wa Tanga. Wazigua ambao lugha yao ni ya jamii ya lugha za kibantu yasemekana wamekuwepo mkoani [[Tanga]], wilaya ya Handeni kwa karne nyingi zilizopita.
 
Maana ya ZIGUAZigua ni kuchukua au ukamata eneo. Miaka mingi iliyopita Wazigua walipigana vita na kuyashinda makabila ya [[Wabondei]] na [[Wasambaa]]. Makabila hayo yaliyoshindwa vita yalikimbiliia maeneo ya mabondeni na mengine kusambaa milimani, Wabondei huko Mabondeni, na Wasambaa walisambalia [[milima ya USAMBARAUsambara]]. Na ndio chanzo cha majina ya makabila haya, kwani kabla ya hapo
walikuwa wakiishi pamoja kama koo za jamii moja. Na walijulikana kwa jina la BOSHAZI maana yake Bondei, Zigua, Sambaa.
 
== Kumtambua m-Boshazi ==
KUMTAMBUA m-BOSHAZI
Unaweza kumtambua m-boshazi kwa jina lake kwa mfano mzigua Samamboe, Sakuzindwa, Sannenkondo, Sankanakono, Shundi, Butu, Chamdoma nk. Kuzungumza kwao huvuta maneno, mfano wa kusalimiana, Ahooni niheedi hanginyuwe, nk.
 
Msambaa utamtambua kwa jina lake, mfano Shekimweli, Sherukindo, Shekiondo Shekazi, Shemndorwa, nk. Hawa wote ni wasambaa na hutamka maneno yao ulimini, mfano, tinakwenda, titarudi, titaonana kesho, nk.
 
Wilaya ya Handeni pia kuna makabila mbalimbali kama [[Wakilindi]], [[Wanguu]], na [[Wasambaa]]. Katika karne hii ya sayansi na tekinolojia, na kutokana na utandawazi, makabila mengi ya kiafrika yamekubwa na mabadiliko yasioepukika katika mila na desturi zao.
 
 
Katika Karne hii ya sayansi na tekinolojia, na kutokana na utandawazi, makabila mengi ya kiafrika yamekubwa na mabadiliko yasioepukika katika mila na desturi zao.
 
Mila ya kutahiri wanawake imekuwa ikipigwa marufuku na serikali mbalimbali za ulimwenguni kuwa ni kinyume cha haki za binaadamu, hivyo basi kuna mila ambazo zinakomeshwa na serikali za nchi na nyingine zinapotea zenyewe taratibu kutokana na kubadilika kwa hali ya maisha, hivyo ili kutunza mambo haya yasije kusahaulika vyema kuweka kumbukumbu ya asili zetu. Tumetumbukia katika masuala ya utandawazi kiasi ambacho tunashindwa hata kutambua miiko yetu au asili zetu, kwa kweli ni mambo ya kusikitisha sana si ajabu kwetu sisi wazee tutakapoondoka basi haya nayo yatapotea.
Line 44 ⟶ 35:
Na kama akishindwa kulipa ataendelea kuishi upande wa mkewe kwa maisha yake yote na hata kama akifariki atazikwa upande wa ukweni kama ukoo wa upande wa mume hautamlipia, kama wakimlipia watapewa mwili kuzika upande wa mume.
 
Wazigua wana ngoma nyingi za asili na huchezwa kutokana na wakati na tukio husika, mfano kuna ngoma za wakati mavuno, harusi, jando na msibani, hujulikana kwa majina ya Mkweso, ,Machindi , Tukulanga, nk.
 
Pia mtoto akishazaliwa hukaa ndani na baada ya siku 40 hutolewa nje na kupewa jila la Lungo. Katika tukio hili la kumtoa mtoto nje, mtoto hupakwa unga na kunyolewa nywele zake za utotoni na bibi yake na mtoto ambaye mara nyingi huwa ni mama wa baba yake na mtoto.
Line 50 ⟶ 41:
Vyakula vya asili vinavyopendelewa kuliwa na wazigua ni ugali unaopikwa kutokana na unga wa mahindi yaliyokobolewa na kuvundikwa kwa muda mrefu kabla ya kusagwa au kutwangwa. Baada ya kysagwa hutoa unga mweupe na laini sana. Ugali huliwa na mboga za asili kama vile, Kungujulu, Sunga, Kididi, Mnavu, nyama za pori na uyoga.
 
== Lugha ==
Maneno ya kizigua na maana zake kwa Kiswahili.
 
[[Kizigua]] [[Kiswahili]]
Mgosi Mwanaume
Mwana Mtoto
Mwana Mtoto
Mwana wa Chigosi Mtoto wa Kiume
Mwana wa ChivyeleChigosi Mtoto wa kikeKiume
Mwana wa ChigosiChivyele Mtoto wa Kiumekike
Uta Upinde
Uta Upinde
Nguku Kuku
Nguku Kuku
Biga Mtungi
Biga Mtungi
Mazi Maji
Mazi Maji
Uchi Asali
Uchi Asali
Sila Barabara
 
{{mbegu}}
[[Category:Makabila ya Tanzania|Z]]
 
[[de:Zigula (Volk)]]
[[en:Zigua people]]
[[eo:Ziguloj]]