Chanakya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: la:Canakya
d roboti Nyongeza: ne:चाणक्य; cosmetic changes
Mstari 1:
'''Chanakya''' ([[Kisanskrit]]: चाणक्य ''Cāṇakya'') (mnamo [[350 KK]] - [[283 KK]]) alikuwa mshauri na waziri wa mfalme [[Chandragupta Maurya]] (mnamo [[340 KK]] - [[293 KK]]) nchini [[Uhindi]]. Chanakya alimsaidia Chandragupta kuunda utawala wa [[nasaba ya Maurya]].
 
Chanakya hukumbukwa hasa kwa vitabu 2 anavyoaminiwa alitunga: Arthashastra na Nitishastra.
Mstari 5:
Katika Arthashastra anajadili matatizo ya kuongoza na kukuza dola pamoja na siasa ya uchumi, siasa ya nje na mipango ya kijeshi. Kitabu hiki kimeitwa kitabu cha kwanza kinachofundisha siasa na uchumi.
 
Maelezo yake yanalenga kutambua masharti kwa kustawi kwa nchi akilenga kuikuza kuwa kubwa kuliko majrina na kuwashinda. Hapa haangalii maswali ya haki lakini faida ya mtawala pekee. Kutokana na tabia amelinganishwa na mwanasiasa Mwitalia [[Machiavelli]] lakini alimtangulia kwa milenia.
 
Nitishastra ni andiko la falsafa na dini linalojadili njia bora za kuiendesha maisha.
Mstari 11:
Vitabu mbalimbali na filamu zinajadili mafundisho yake.
 
== Media ==
* Television series ''[[Chanakya (TV series)|Chanakya]]'' is a fictionalized account of the life and times of ''Chanakya''.
* A book has been published in English titled 'Chanakya on Management"{18} in which each of the 216 sutras on raja-neeti has been translated and commented upon. Clearly, the entire system of thought propounded by Chanakya is based on following good ethical principles.
* In his [[Arthasastra]], Chanakya has discussed widely various economic issues. A book written by [[Ratan Lal Basu]] & Rajkumar Sen has dealt exhaustively with these economic concepts of Chanakya and their relevance for the modern world.<Ref>Ratan Lal Basu & Rajkumar Sen: ''Ancient Indian Economic Thought, Relevance for Today'', ISBN 81-316-0125-0, Rawat Publications, New Delhi, 2008</ref>
* Many eminent [[Kautilya]] experts from all over the world had discussed various aspects of [[Kautilya]]'s thought in an International Conference held in 1902 at Oriental Research Institute, Mysore, [[India]] to celebrate the Centenary of discovery of the manuscript of the [[Arthashastra]] by [[R. Shamasastry]]. Most of the papers presented in the Conference have been compiled in an edited volume by Raj Kumar Sen and [[Ratan Lal Basu]].<ref>Raj Kumar Sen & Ratan Lal Basu (eds): ''Economics in Arthasastra'', ISBN 81 7629 819 0, Deep& Deep Publications Pvt. Ltd., New Delhi, 2006</ref>
Mstari 21:
 
{{reflist}}
 
 
[[Jamii:Watu wa Uhindi]]
Line 56 ⟶ 54:
[[ml:കൗടില്യൻ]]
[[mr:चाणक्य]]
[[ne:चाणक्य]]
[[new:चाणक्य]]
[[nl:Chanakya]]