Wikipedia:Mwongozo (Viungo vya Wikipedia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 9:
:'''Giza''' ([[Kar.]]: الجيزة ''al-gīza'') ni mji wa kaskazini ya [[Misri]] unaopakana na mji mkuu [[Kairo]]. Inajulikana hasa kama mahali pa [[piramidi za Giza|piramidi]].
 
Maneno yenye rangi ya buluu yamepewayanaunga kiungomakala kwendahii na makala mengine kuhusu [[Kiarabu|Kar. = Kiarabu]], [[Misri]], [[Kairo]] na [[piramidi za Giza|piramidi]]. Ukibofya neno la buluu unapelekwa kwenda makala hizi.
 
====Viungo vyekundu====